Asee umerudiMdundiko baba acha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]unatafutwa nyumbani mtu ushafika mtaa wa nne unasindikiza mdundiko....
Nimetoka hapa kufika mtaa wa pili nikakuta ubuyu ikabidi nisimame..mara nasikia honi kugeuka andjul huyu hapa ikabidi nisimame tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Amen.Uwepo wake hapa una thamani kubwa sanaKwa sasa uzi huu unakuhitaji sana pengine kuliko hata Goddess anavyokuhitaji. Busara zako, ukomavu wako, ucheshi wako, uelewa wako na all around good character ni muhimu sana. Usije hata siku moja ukafikiria kuleta abra kadabra kama za KK au Ho Chi Minh. Litakuwa pigo kubwa sana kwa uzi huu.
Katimize majukumu yako ya kizee (wa Masaki), pumzika vizuri na kesho Mungu Akuamshe salama tukutane hapa!
Siyo bure[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nimetoka hapa kufika mtaa wa pili nikakuta ubuyu ikabidi nisimame..mara nasikia honi kugeuka andjul huyu hapa ikabidi nisimame tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nipo natwanga like huku,leo sijaonekana kwa muda mrefu nimejikuta nina deni kubwa la like.Mzee yupi? Wa Tukuyu? Mbona yupo humu napishana pishana naye. Amesema anaendesha kutoka Tukuyu kuja Dar. Nilisikia anamwambia Carba kuwa amemiss maembe ya chumvi na mahindi ya pili pili. Tumuombee aendeshe salama na Mungu Amfikishe salama Dar.
Ndio maana yake na lengo la hii thread.
Nimesikia unagari naomba lifti[emoji1][emoji1][emoji1]nataka niende keko kesho nikaringishe mtaani imepata lifti...safari njema karibu dar uitwe mwanaume wa dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amen.Uwepo wake hapa una thamani kubwa sana
Nipeni na mimi likes wakuu
Carba usingizi umegoma au Range Rover ya Andjul imekutoa usingizini imebidi uamke kuomba lift?Nimesikia unagari naomba lifti[emoji1][emoji1][emoji1]nataka niende keko kesho nikaringishe mtaani imepata lifti...safari njema karibu dar uitwe mwanaume wa dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cha muhimu umefika; na uko salama. Mengine madogo!Mkuu nipo natwanga like huku,leo sijaonekana kwa muda mrefu nimejikuta nina deni kubwa la like.
Nilikuwa mtaa wa pili hapo kulikua na ubuyu kibarazani nikashindwa kupita kimya[emoji23][emoji23]Carba usingizi umegoma au Range Rover ya Andjul imekutoa usingizini imebidi uamke kuomba lift?
Wapenda ubuyu wengine wa hapa walikuwepo huko au ulikuwa peke yako? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa mtaa wa pili hapo kulikua na ubuyu kibarazani nikashindwa kupita kimya[emoji23][emoji23]