Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huu uzi kuna ushirikiano kama wa siafu.

Siafu wakiwa kazini kwenye kubeba vitakataka wanagongana vichwa hadi wengine wanapotea mwelekeo, kama alikuwa anafuata mzigo atajikuta kasharudi alikotoka.

Gonga ugongwee!!
 
Lakini at the end, kila mtu anajua wajibu wake na kazi inafanyika ipasavyo. Hicho ndicho cha muhimu.
 
Back
Top Bottom