Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aaa wapi? Kumtumikia Mungu hakukuhakikishii kwenda mbinguni. Kwenda mbinguni ni kwa neema tu na kamwe si kwa matendo yako. You can't buy heaven kwa matendo yako wala utajiri wako!Ingekuwa ni Mungu tunamtumikia namna hii wote tungeenda mbinguni