[HASHTAG]#FAHAMU[/HASHTAG] - Gigy money ni moja Kati ya mavideo queen wengi wanaozidi kupungua kila iitwapo Leo pichani hapo juu usifikiri ni watu wawili tofauti la hasha!! Ni kipindi kile gigy money anaanza kujulikana, picha zilikuwa gumzo kweli kweli kwa wanaokumbuka ilikuwa ikiambatanishwa na haya maneno "NATAFUTA KAZI ZA NDANI" • • • Unadhani ni kitu gani kinapelekea watu kuwa na mabadililo baada ya kujulikana? Je, ni matumizi mabaya ya madawa yanayokuza maumbo yao? au ni kitu gani hasa?
Katika miaka 500 iliyopita tangawizi ilianza kutumika mashariki ya mbali, kama vile China na India wakitumia kwa kutibu maradhi mbali mbali.
Katika hili zao la tangawizi kuna vyanzo vya:
Mangenisium
Mangnese
Potasium
Copper
Vitamini B6
Hii ikiwa katika mwili wa binaadamu ikiwa ni pamoja na ugunduzi wa wataalamu kutengeneza tangawizi ni tiba tosha kwa magonjwa ya ngozi
-Husaidia wale wenye matatizo ya gauti yaani sehemu ya viungo kuuma na kusikia maumivu makali kupata ahueni, pia husaidia kusambaza damu kwenye mwili kwa haraka zaidi.
Nakubariki kwa kila kitu unacho kitaka ukakipate kuanzia leo mpaka mwisho usio kuwepo! Mwenye Enzi Mungu akujalie haja zote za moyo wako zika timie Goddess Isis of 10000 names
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.