[HASHTAG]#FAHAMU[/HASHTAG] - Gigy money ni moja Kati ya mavideo queen wengi wanaozidi kupungua kila iitwapo Leo pichani hapo juu usifikiri ni watu wawili tofauti la hasha!! Ni kipindi kile gigy money anaanza kujulikana, picha zilikuwa gumzo kweli kweli kwa wanaokumbuka ilikuwa ikiambatanishwa na haya maneno "NATAFUTA KAZI ZA NDANI" • • • Unadhani ni kitu gani kinapelekea watu kuwa na mabadililo baada ya kujulikana? Je, ni matumizi mabaya ya madawa yanayokuza maumbo yao? au ni kitu gani hasa?
View attachment 555942