Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aaa wapi? Kumtumikia Mungu hakukuhakikishii kwenda mbinguni. Kwenda mbinguni ni kwa neema tu na kamwe si kwa matendo yako. You can't buy heaven kwa matendo yako wala utajiri wako!Ingekuwa ni Mungu tunamtumikia namna hii wote tungeenda mbinguni
Ha ha haaaa. Makapuku wana mada zao wanajadili na mapenzi moto moto. Kuna couple kule 24/7 I love you honey, kiss me honey mpaka raha. Hakuna kama Makapuku na haitakaa itokee...Ukiona kulike kazi nenda makapuku
Big Black C...[emoji23][emoji23][emoji23]
Almasi makaburu wameshazimaliza pale hakuna kitu...RONALDO KUJIUNGA NA MWADUI MSIMU HUU
Upooooo?????????
uc.ho.ch.e.zi.Ha ha haaaa. Makapuku wana mada zao wanajadili na mapenzi moto moto. Kuna couple kule 24/7 I love you honey, kiss me honey mpaka kero...
Nakumiss tuuUpooooo?????????
Well said ndugu yanguHuu uzi kuna ushirikiano kama wa siafu.
Siafu wakiwa kazini kwenye kubeba vitakataka wanagongana vichwa hadi wengine wanapotea mwelekeo, kama alikuwa anafuata mzigo atajikuta kasharudi alikotoka.
Gonga ugongwee!!
Vizuri sanaNipo ndugu yangu