Aidha, mazoezi pia husaidia kuzuia maradhi ya saratani (cancer) au ugonjwa wa kaa, hukusaidia usizeeke, huboresha afya ya ubongo, husaidia na kuborsha uwezo wako wa kufanya tendo la ndoa, mazoezi huboresha mfumo wako wa kupata usingizi, mazoezi hutibu upungufu wa nguvu za kiume pamoja na nguvu za kike, mazoezi husaidia kuzuia kiharusi (stroke).