Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mazoezi hupunguza Lehemu mwilini mwako, huasidia kupunguza uzito,huimarisha mifupa,hupunguza shinikizo la damu, mazoezi huondoa Sonona(Depression), mafua,mazoezi hupunguza makali ya ugonjwa wa pumu,hupunguza kisukari,mazoezi husaidia ukuaji wa mimba kuwa mzuri kiafya.
 
Mazoezi ni kitu muhimu sana kwa ajili ya afya kila mtu. Kwa mujibu wa Ali Mzige kutoka kliniki ya Kimataifa ya Afya ya Uzazi kwa Baba, Mama Mtoto na Vijana amesema, ziko faida nyingi ambazo unaweza kuzipata kwa kufanya mazoezi.Siku hizi wetu hawafanyi mazoezi ndio maana wanaandamwa na magonjwa mbalimbali.Zifuatazo ni faida za kufanya mazoezi:
 
IMG_3248.JPG
 
Back
Top Bottom