carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Siku yangu inaendelea vizuri sana...sijui kwa upande wakoAm okay love how was your day
Tupo vema ingawa bado tuna mashaka juu ya hali za wenzetu ho chi Minh na Kichwa Kichafu aka KK. kukosekana kwao hapa kumetuachia sintofahamu kubwaWakuu mnaendeleaje?
19:17
It's all good here loveSiku yangu inaendelea vizuri sana...sijui kwa upande wako
ho chi minh sijui kimempata nini kwakweli ila KK aliaga alisema hatakuwepo jf kwa mudaTupo vema ingawa bado tuna mashaka juu ya hali za wenzetu ho chi Minh na Kichwa Kichafu aka KK. kukosekana kwao hapa kumetuachia sintofahamu kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kusikia hivyo[emoji7]It's all good here love
God in Control
#Hashtag#Iwasborn2loveyou#
Kichwa kichafu umri umeenda lakini Ana force demand
Sikujua kama KK aliagaho chi minh sijui kimempata nini kwakweli ila KK aliaga alisema hatakuwepo jf kwa muda