Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Njoo nikupulize kipenz cha mond..Macho yanauma
Karibu tena Damu ya Yesu.Nimekuja tena wapendwa baada ya kupotea kidogo
Watu mtakuja kufleti mkiwa kwenye likes. Kale kwanza likes utazikuta.Lunch nimeshida nalike tu
Hapa ni like tuNakuja pm unioneshe ilo zigo
Yapumeona ee
Lakini upo salama wewe??amina
Ngoja wakuskie wanakuja asa hiviMakapuku Forum wamekosa Financial ya kujiendesha.....
Imewekwa chini ya uangalizi wa World Bank
Mkuu kazi za hapa na pale.Watu wamekimbia