Aaa wapi. Makapuku wamejipanga wale. Na kwa nini mnawataja taja sana? Mnashindana nao ama?Makapuku Forum wamekosa Financial ya kujiendesha.....
Imewekwa chini ya uangalizi wa World Bank
Watu mtakuja kufleti mkiwa kwenye likes. Kale kwanza likes utazikuta.
Mijangili! Anyway chukua like!
Mda wa kula mkuuAisee mmesepa na kijiji likes hakuna tena
TupoAisee mmesepa na kijiji likes hakuna tena
J3Leo Juma ngapi vile??
OkNaomben likes jaman
Mambo!
Weka pichaMda wa kula mkuu
Sawa![]()
Nausonga mje kula
Naona ni uzi kinzaniAaa wapi. Makapuku wamejipanga wale. Na kwa nini mnawataja taja sana? Mnashindana nao ama?
Acha ukichecheNahitaji mgegedo wakati huu was lunch time ndo perfect kwa mchepuko.
KweliMkuu kazi za hapa na pale.