Ni kigenge fulani toka majukwaa fulani, wanaacha post hapa wapate likes na kutokomea walikotoka, hili tuliangalie. Maana vigezo lazima vizingatiweLishakuwa tatizo na hali hii ikiendelea uzi huu hautakuwa na maana tena. Watu wanakuja, wanapost halafu wanasepa..
Salamu zimefikaMsalimie Isis
My loveAMUN RA
Tutalifatilia kwa umakiniNi kigenge fulani toka majukwaa fulani, wanaacha post hapa wapate likes na kutokomea walikotoka, hili tuliangalie. Maana vigezo lazima vizingatiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
WordNi kigenge fulani toka majukwaa fulani, wanaacha post hapa wapate likes na kutokomea walikotoka, hili tuliangalie. Maana vigezo lazima vizingatiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
IndeedMy love
Pole sanaNipo kwenye 19hrs, sijui ntafika lini huko
Itakuwa akifa watu wapate urithi mfukoni!!
Nakupenda pia my love!Nampenda sana my Queen
The one and only ISIS