Serioususiniambie[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mie nimeridhika we nambie tu wapi wapatikana niunguze naulikabint fulani tu maji ya kunde..macho ya goroli ila situmii kungu...nimeenda hewani....zigo la kuvunja chaga kiasi...sauti tiba tosha...tabia ndio daaah unaweza lia ugali ukashiba
Yah niDUUHHHHH WATU BADO MNAPEANA LIKES
Bado uko kwenye malike aisee we nomaEti aku hahahaha
Ni mwendo wa likesLolote, chochote likes tu
Mpe like yakeBinti mrembo akiitika tu hivi basi mi hoi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwongeze na nyinginekamata hiyo
Chukua hiyo, na ww toa. Inaitwa toa uchukue[emoji23]Naomben likes jaman
Watu wanasahau mpka siku malike noma sana
Tupo mkuu.Wakuu wa malikes mpo!
Tupo kama kawa kama dawaWakuu wa malikes mpo!
PoaMambo!
Hapa ni like kula baadayeWeka picha
Bado kwa sanaHawataki
Ni mwendo wa likeHawana vita
Tupo na wewe likeNimerudi tena kugawa likes mko wap