Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,606
Kuna vijembe humuAtariiiii
Kuna vijembe humuAtariiiii
jaza ujazweSema binti wa Kinyiramba.
Ni kweli mkuu. Likes za Ma-Great Thinkers Ni kazi kweli kuzipata sana sana ni kutukanwa tu na kubezwa [emoji23][emoji23][emoji23]Kama hujawah kupata like jf bas tumia nafasi hii
Umenena vyema sana NumbisaNyie members wa humu jiaminini bana,kila saa mnawataja makapuku halafu wenyewe walaa hawana mpango nanyi.
UKITAKA MAENDELEO PUNGUZA KIJICHO KWA MWENZIO,HUU NI UZI WA KUPEANA LIKE SIO KUPEANA sympathy KISA MAKAPUKU.
WALE NI WATU POA SANA MKIWAJULIA SIO WAGOMVI. TUJALI YA KUMWAGIANA LIKE
hakuna namnaNimepata bure natoa bure Upendo
usiniambie[emoji3] [emoji3] [emoji3]Afu wewe nataman nikuone live
Usiilinganishe asali na vitu vya kijinga mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ukitoka kidogo ukirudi page 30 tayari hii ni zaidi ya asali
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Chukueni rekod cku huu uzi umeanzishwa, makapuku walikuwa na replies ngap?
Ili baada ya mwaka na mwez mmoja tuone hapa kutakuwa na replies ngapi, coz leo hadi sasa makapuku wana mwaka na miez mi2
Hahahaha afadhali umwambie...kulala itakua ngumuMkuu, like 1,000 ndo akalale? Likes ni kama pesa, hakuna kuridhika aisee...
Potezea. Halafu kamata likes...jaza ujazwe
Japokuwa unatowekatoweka...Kiapo cha kubaki kwenye Uzi huu
kabint fulani tu maji ya kunde..macho ya goroli ila situmii kungu...nimeenda hewani....zigo la kuvunja chaga kiasi...sauti tiba tosha...tabia ndio daaah unaweza lia ugali ukashibaAfu wewe nataman nikuone live
Makapuku, Makapuku...Why? Kigezo ni kujilinganisha na Makapuku au nini sasa?Hivi makapuku wa wana muda gani jf??