Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Good morning my darling
Jana nilizimika mapema
Akili ili choka sana
Wayahudi time is money
Kitu cha three days
Wakapiga one day!
Walahi ni watu wa kuigwa kabisa!
They are amazing people
Watu walio na maendeleo tusikae nao mbali
Ili watupe upako wa maendeleo yao!
Na SISI ipo siku watanzania tuta kuwa kama wao
Vipawa na mali
Walahi tena naamini
JUA LA REHEMA LIMEIANGAZIA NCHI YANGU TANZANIA MILELE YOTE
AMUN RA
Mwenye Enzi Mungu akuongezee maarifa ya kujifunza kutoka kwao
Siku zote muda ni mali
 
Asante nime amka gr8 kwa kweli!
Tell me about the shamba
What is your intentions?
Mwenye Enzi Mungu akupe new ideas
Abariki kazi ya mikono yako
Kila utakalo fanya akubariki
Ageuze mchanga wako kuwa
Diamonds
Amina
Kuwekeza katika Ardhi ni muhimu sana lakini kuna Rafiki yangu anafuga samaki nimependa hiyo kitu navuta kasi kidogo naanza ujenzi wa bwawa la samaki
Lakini naihitaji kusoma zaidi ufugaji wake ukoje kabla ya kuanza
 
Umesikia mara nyingi kuwa kunywa maji kwa wingi hasa asubuhi kuna faida kubwa sana za kiafya mwilini,lakini kunywa maji yenye ndimu na vuguvugu kuna faida maradufu na ni rahisi kufanya kila siku. Vitamin C nyingi iliyomo katika limao na ndimu ni siri ya faida za tunda hili,ukiachia vitamini C ndimu ina vitamini B-complex, madini ya Kalsiamu, chuma, magnesiamu na potasiumu, na fiba (Ndimu ina potasiumu kwa wingi kuliko tofaa(apple) au Zabibu).
 
Faida 11 za Kunywa Maji Yenye Ndimu

1: Huchochea Mmeng’enyo wa Chakula Tumboni
Maji yenye ndimu husaidia chakula kusagika vizuri na haraka katika mfumo wa chakula. Japo limao lina asidi(acid) lakini likiwa tumboni huwa alkali (alkaline) na kufanya mazingira mazuri kwa usagaji wa chakula.
 
Back
Top Bottom