Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amina
Kuwekeza katika Ardhi ni muhimu sana lakini kuna Rafiki yangu anafuga samaki nimependa hiyo kitu navuta kasi kidogo naanza ujenzi wa bwawa la samaki
Lakini naihitaji kusoma zaidi ufugaji wake ukoje kabla ya kuanza
Nakutakia heri
Na mafanikio ya hali ya juu
Ungejenga bwawa la maji kwanza!
Ni kitu rahisi sana!
Na usiache kuchukua mkopo Bank
Kumbuka OPM
OTHER PEOPLES MONEY!
 
IMG_3262.JPG
 
Back
Top Bottom