Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Haki
Si kwamba anaondoka zake, inafanywa biashara, hata kuondoka kwa e'too ilikuwa ni deal la kibiashara tu. huwezi kulazimishwa kumuuza mchezaji ambaye una mkataba naye, labda tu kama kuna kifungu cha kisheria mlichokubaliana. acha dogo akatafute changamoto nyingineAende zake tu,waliondoka kina Ronaldinho,Xavi,Yaya toure,Eto'o,Puyol,Valdes na wengine wengi tu itakua hiki kitoto cha juzi? Barcelona is a TEAM.
Super!![]()
![]()
![]()
![]()
Huu ni utalii wa ndani....