Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hivyo, hayana nguvu ya kisheria
Hapana mkuu.. Tupo pamoja hapa Kijiji cha likes, ila kuna likizo isiyokuwa ya malipo ndo tunatumikia kwa sasaJamani
Mbona kila mtu kivyake humu!
Hamna mtu anaye muongoza mwingine kwenye uzi huu my dear
Hebu rudi mpendwa
We are free kwenye uzi HUU mpendwa
Stress free zone
Upendo tu!
Welcome back home!
Nyi mlimbania likes, jembe Ruta alikuwa anawamwagia madini kwenye ule uzi lakini mkaishia kupeana likes kibaguzi!! Leo mtu kaondoka mnaaza kulialia!!! Mwacheni afanye yakeNdugu tunakuomba urudi kwenye uzi wako wa Man U naona hutaki kutupa hata salam siku hizi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kuna watu wanalazimisha kumrudisha mkuu Ruta kwenye chama lao[emoji3] [emoji2] [emoji2] Ruta kawachunia.Uzi huu pia kama timu ila watu wake sio kama wachezaji hawawezi kununuliwa kama Neymar
Nzuri, toa likes tukupe likesHabari zenu bhana
Sent from my Siemens A-35 using JamiiForums mobile app
Tupo, dondosha mzigo upewe chakoMpo?
Sent from my Siemens A-35 using JamiiForums mobile app
Mpira ni burudani na pia biashara. Watu wameweka pesa zao ili wapige mpunga. Zile dk 90 za kunyoosha mistari ya pasi zimegaharamiwa. mtu akiona uchumi unayumba lazima atauza jembe moja ili ajipange kivingine.MIMI SHABIKI DAMU WA FC BARCA NIMEUMIA SANA KUSIKIA
NEYMAR JR ANAUZWA
HV VIONGOZI WA BARCA WANA AKILI TIMAMU
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzima!?
Mkuu Rutashubanyuma, mi mzima. Habari yako jembeZa mchana viongozi
Ok thanksHapana mkuu.. Tupo pamoja hapa Kijiji cha likes, ila kuna likizo isiyokuwa ya malipo ndo tunatumikia kwa sasa
HahahahaNyi mlimbania likes, jembe Luta alikuwa anawamwagia madini kwenye ule uzi lakini mkaishia kupeana likes kibaguzi!! Leo mtu kaondoka mnaaza kulialia!!! Mwacheni afanye yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kali[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kuna watu wanalazimisha kumrudisha mkuu Luta kwenye chama lao[emoji3] [emoji2] [emoji2] Luta kawachunia.
Sent using Jamii Forums mobile app