Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ingawa aina halisi ya virutubisho itokanavyo na maharage inalingana na aina ya maharage unayokula, lakini maharage ina calories (calories /nguvu) takribani 116 katika nusu kikombe, ina pia gramu nane (8) za protini, sita (6) za fauba na ni kama haina mafuta kabisa. Maharage ni chanzo kizuri sana cha fiber, kopa, folate, chuma, magnesium, manganese, phosphorus, potassium na zinc. Kwa kua fiber na protini nyingi inakufanya ujisike umeshiba hivyo kula calories chache na hivyo kukusaidia kuweza kuwa na uzito mzuri.
 
Maharage yanamafuta kidogo, na yana fiber inayoyeyuka na ina kemikali (phytochemiclas), vyote ambavyo vinasaidia kupunguza wingi wa cholesterols. Folate ipatikanayo katika maharage pia ina faida kwakuwa inasaidia kupunguza wingi wa homocysteine, tindikali (amino acid) ambayo inaongeza hatari ya kupata magonjwa ya moyo ikipatikana kwa wingi kwenye damu.
 
Watu waliokula maharage zaidi walikuwa na uwezekano mdogo zaidi ya kupata kisukari katika kipindi cha utafiti huu, labad ni kutokana na fiber na antioxidants inayopatikana katika maharage au
kutokana na glycemic indes katika maharage ukilinganisha na vyakula vingine vyenye wanga
 
Back
Top Bottom