Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aende zake tu,waliondoka kina Ronaldinho,Xavi,Yaya toure,Eto'o,Puyol,Valdes na wengine wengi tu itakua hiki kitoto cha juzi? Barcelona is a TEAM.
Si kwamba anaondoka zake, inafanywa biashara, hata kuondoka kwa e'too ilikuwa ni deal la kibiashara tu. huwezi kulazimishwa kumuuza mchezaji ambaye una mkataba naye, labda tu kama kuna kifungu cha kisheria mlichokubaliana. acha dogo akatafute changamoto nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…