andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mkuu usinitenge kwa hilo, nina korongo nilitaka kulifukia nikaahirisha ili nipate kufuga samakiAmina
Kuwekeza katika Ardhi ni muhimu sana lakini kuna Rafiki yangu anafuga samaki nimependa hiyo kitu navuta kasi kidogo naanza ujenzi wa bwawa la samaki
Lakini naihitaji kusoma zaidi ufugaji wake ukoje kabla ya kuanza