Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo ni NDUGUYAO style anapokuwa amekikalia kiti...
 
Kweli unaweza kudhani ni watan kumbe walaa hawafahamian,hawa ndio waliotufukuzia cocochanel humj
Ni kweli. Haya mambo ya kuanza kumjadili mtu wakati mwenyewe hayupo na hajui yana madhara yake. Ni ya kuepuka hata kama ni utani.

Coco na msimamo wake ule ni wa kufukuzwa na mtu kweli? Aliwahi kusema kuwa anataka kupunguza matumizi ya JF na sikujua kama kafukuzishwa na watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…