HahahahaMuheshimiwa.. futa kauli yako kuhusu vurugu kabla sijamuachia mbunge wa WETE PEMBA kuwasilisha hoja yake binafsi sambamba na suali la nyongeza hapa
Hahaha kwa taarifa yako wala usiondoke. Km kununa basi tutanuniana tu ila sitoki ng'ooo. Km ulijua ntaondoka ndio ujue ishakula pande yako.Safari hii ukienda hesabu maumivu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bwihi [emoji16] [emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilicheka sana hasa kwenye u-turn.
Ukute mbunge wa jimbo la mchamba wima ni ISIS,yeye anakuwa anawatwanga na AMUN RA mwanzo mwisho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Muheshimiwa.. futa kauli yako kuhusu vurugu kabla sijamuachia mbunge wa WETE PEMBA kuwasilisha hoja yake binafsi sambamba na suali la nyongeza hapa
Sahihi kabisa..Haya ni baadhi ya magonjwa yaliyothibitika kutibika na yanatibika au kukingika na kitunguu swaumu:
Huondoa sumu mwilini
Husafisha tumbo
Huyeyusha mafuta mwilini (kolestro)
Husafisha njia ya mkojo na kutibu U.T.I
Hutibu amoeba, minyoo na Bakteria wengine
Huzuia kuhara damu (Dysentery)
Huondoa Gesi tumboni
Hutibu msokoto wa tumbo
Hutibu Typhoid
Huondoa mabaka mabaka kwenye ngozi
inanikumbusha primary,kiranja alitufungia mlango akasimama kwa nje ati tusitoke wakat tulishamaliza mitihan zamaan waalimu wapo kwenye usahihishaji. Tukatorokea dirishan. Kuja kufungua mlango akajikuta mwenyewe darasa zima wametorokaPicha hii inakukumbusha nini na wapi?
Kwenda huko, kwann usimwambie cole mwenyewe akuoneshe mji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kesho nitamtafuta carba (kwa idhini ya Cole) ili anionyeshe mji.