Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimerudi kuwapa likes hadi sa4
Umekuja wakati mwafaka kabisa shemeji. Kuna ugomvi umefumuka humu na wewe pekee pengine ndiye utasaidia kuamulia.

Andjul anataka akupitie kesho ukamwonyeshe mji hasa anakoweza kupata maembe yale ya chumvi, pweza na mahindi ya pilipili. Mkewe naye kaja juu anataka naye ampitie Cole akamwonyeshe mji.
 
Ushindweee kwa jina la nani hii yule....eehee huyo huyo toka pepo....kwendraaaaa
 
Huo mpango wao na andjul nimeshakataa mm. Andjul ukienda ujue talaka moja itakufuata huko huko.
 
Well said
Maana mimi na AMUN RA
Hatuwezi kutengana kamwe!
AMUN RA
 
nsamaka amekataa kasema kama hakuna mwingine si lazima aone mji
Kuhusu yeye kuja aje tu mimi nitamtembeza Cole atakuwa busy sana[emoji23][emoji23]...ila nsamaka anawasiwasi sana na mimi sijui kwa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…