Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ukweli kuhusu Simba kufungwa saba kwa nungwe
Hahahaha [emoji2] [emoji3] umeamua kuwafungukia[emoji1] [emoji2] [emoji3] nimependa hiyo.Likes hamtoi sasa nifanyaje?
Swafi mnoHahahaha [emoji2] [emoji3] umeamua kuwafungukia[emoji1] [emoji2] [emoji3] nimependa hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli
Kusanyikeni huko muelewane. Kila post yake moja likes 20+ bila shaka atarudi japo huku nako tutam-miss na tutakuja pia kujaribu kumrudisha [emoji23][emoji23][emoji23]mkuu Rutashubanyuma ngoja niende kule theatre of dream nikawaombe jamaa wakupatia likes urudi kutupatia yale maudambwi dambwi