Sawa GeJo hata mie nitarudi baadaye kidogo kuja kumwaga nyingine za nguvu. Nataka mpaka Jumapili niwe nimemwaga likes kama 2,000 hivi kwenda juu.
Leo hakuna "Kurara" nini Mkuu?
Mie kumeshakucha Mkuu. Karare sasa Mkuu. Acha tutakuwekea haki yako usiwe na hofu Mkuu.
Hatuulizani Humu ni likes tu. Chukua like yako