Hahaa nawaza tu kulala bila nguo mara mwizi huyo salaaaleee...habari ya asubuhi NumbisaRipoti hiyo inasema kuwa mtu anapolala bila nguo inakuwa rahisi kwa mwili kupoa na kuwezesha upatikanaji wa kiwango sahihi kinachohitajiwa na ubongo kufanya kazi.