Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mbu wana faida nyingi. Wanazuia overpopulation. Isitoshe si wote wanaeneza magonjwa. Kama kweli unatafuta mahali pa kutua lawama zako, zitue kwa aliyewaumba ila Nuhu utamuonea bure tu!*_Lakini Nuhu aliamua tu kutusababishia Malaria ule mda Mbu zilikuwa mbili ndani ya safina si angeziua_*
Akidondoka jeZunguka nayo
Futari napata!Mwendo umekuwa wa kusuasua?
Ndiyo maana mwanamke ukimpiga picha ni lazima umuonyeshe[emoji13] [emoji13] [emoji13]Hahahah saa nyingine picha zinaumbua kweli
Kuna weusi wenzetu huko wako kama sisi copyright. Hata nguo hawavai. Chezea blacks ww...Papua New Guinea
THE ONE AND ONLY!
HahahahaKuna weusi wenzetu huko wako kama sisi copyright. Hata nguo hawavai. Chezea blacks ww...
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]*_Lakini Nuhu aliamua tu kutusababishia Malaria ule mda Mbu zilikuwa mbili ndani ya safina si angeziua_*
Natapika mkuu nipe zingineTapika basi tukulishe zingine
YamenishindaZunguka nayo