Lokii
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 708
- 2,092
Hahahaha we jamaa bana, nlitaka nikupe likes kama mia hivi kwa mpigo sijui kwanini mods waliweka ki like kimoja cha kichoyo hivi*_Lakini Nuhu aliamua tu kutusababishia Malaria ule mda Mbu zilikuwa mbili ndani ya safina si angeziua_*