moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
GoddessTHE ONE AND ONLY!
GoddessTHE ONE AND ONLY!
Kwani hapa watu wanapewa nn??Nini?
Tena wataifishe kila kitu na kupiga kitanzi. Vijijini wenzetu wanakufa hawana hata Aspirin wenyewe wanaagiza Rolls Royce. Kusanya wote waliogawana mamilioni ya Stanbic halafu gonga shaba laivu uwanja wa taifa.Rugemarila ndani ya Keko! Fweza mwanaharamu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nipo nakusanya kusanya likes kidogo kabla sijaenda kwenye jukwaa langu pendwa(Celebrities forum)Kumbe na wewe upo huku?
Hivi ye hana uwezo wa kujigawia tu hizi likes?Thread ifutwe na nani wakati Max mwenyewe yupo hapa anakula likes?
LvfeklmczrgmlNdidbrkdndi
Huu uzi hauna haja ya sticky kwa sababu muda wote upo juu.Mods wekeni sticky huu uzi
Wapo wanagombea likeHuku naona watu wanaendelea kulaikika
Jukwaa limepoa sana saiv[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nipo nakusanya kusanya likes kidogo kabla sijaenda kwenye jukwaa langu pendwa(Celebrities forum)
Mkuu kwani hizi likes mtaziuza wap? na mi nianze kukesha kwenye huu uzi kama joseverestKupitia huu uzi nimepata likes 600
Wee acha tuYaani!
Nipo na mdogo wangu Warumi hapa,kuna mambo mazuri mazuri tunawaandalia Soon mtayapata.Jukwaa limepoa sana saiv
Ni ngozi ya laana. Popote utakapotuweka matatizo ni yale yale - umasikini, uvivu, maneno mengi, ufisadi wa kutisha, kupenda mteremko...Wale jamaa wa Papua New Guinea niliona kwenye National Geographic wamemuua kiongozi wao wa kijiji kisa kawapunja nyama ya nguruwe mwitu ambaye wote walishiriki katika kumuua. Nikaishia tu kutikisa kichwa. Pengine nasi huku tuanze kuyaua haya mafisadi yanayotuibia nguruwe pori wetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1] aisee! hii ngozi kiboko eti?