Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mkamia maji....Kamata likes...Hii week mbona huu uzi utanikomaa??
Mkamia maji....Kamata likes...Hii week mbona huu uzi utanikomaa??
Tuje wapi kiongoziKaribuni Daku kwa wale wafungaji
Hizi likes ni kama street cred kwa niggaz - if You know what I mean [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu kwani hizi likes mtaziuza wap? na mi nianze kukesha kwenye huu uzi kama joseverest
Umeona ee, jamaa mjanja mjanja sana huyu, sijui anamtega nani?Kamata likes. Hata 800 hujafikisha. Acha mbwembwe mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Mikate mingine iliyoeksipaya na ina gluten nyingi aisee chai haioni ndani. Endelea kusaka siku moja utakutana nayo. Uwanja wa Fisi ni mahali pazuri kwa mikate ya aina hiyo...Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni like hapaHahahaha we jamaa bana, nlitaka nikupe likes kama mia hivi kwa mpigo sijui kwanini mods waliweka ki like kimoja cha kichoyo hivi
Unapeleka dukani pale kwa mpemba anakubadirishia na mkate, akizingua nifuate city mallMkuu kwani hizi likes mtaziuza wap? na mi nianze kukesha kwenye huu uzi kama joseverest
Zipo ndg yangu nishakupa na mm nipe[emoji23]Like bado zipo
Wasiliana na Karamagi atakusaidia...Nime chill tu hapa.
Nafikiria makontena yangu ya Likes nitayapitishaje bandarini
Njema, muambie Emmyta aje huku kuna mvua ya likesZa jioni wadau
Hongera, na wewe usiwe mchoyoKupitia huu uzi nimepata likes 600
Likely anachezea ban...Ukiweka niite,warumi sijui kapotelea wap yan na miss ubuyu wake
ShwariVipi
Kamata likes [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 527173
Habari hizi sidhani Kama ni za Kweli. Na zinasambazwa na sisi sote bila tafiti Hebu Google Spalgis epius kupata habari za huyo mdudu. Kwa ufupi huyo mdudu si kidudu mtu kama ambavyo taarifa zake zimekuwa Viral kwenye social media, huyo mdudu ni Predator wa wadudu waharibifu wa mazao jamii ya Scale Insect ambao ni Kama Papaya and Cassava Mealbug. Hawa Mealbug kwa muonekano ni weupe na wanapukutisha vumbi jeupe kwenye Mipapai na Mihogo. Hivyo hiyo picha ya hao wadudu hapo walipo wapo katika hatua ya ukuaji kuelekea kuwa Vipepeo (Growth stage from Larva to Pupa). Hivyo wanataga mayai ndani ya mayai ya hao Mealbug na kuwashambulia Mealbug as a Natural Enermy ,kwa hiyo ni moja ya Biological control ya Mealbug, hivyo hawana madhara.
Hahaha hatari sana, lakini kabla hatujaanza kuyauwa haya mafisadi mi wangenigea ka noah kangu ka makinikia kwanza[emoji4][emoji4]Ni ngozi ya laana. Popote utakapotuweka matatizo ni yale yale - umasikini, uvivu, maneno mengi, ufisadi wa kutisha, kupenda mteremko...Wale jamaa wa Papua New Guinea niliona kwenye National Geographic wamemuua kiongozi wao wa kijiji kisa kawapunja nyama ya nguruwe mwitu ambaye wote walishiriki katika kumuua. Nikaishia tu kutikisa kichwa. Pengine nasi huku tuanze kuyaua haya mafisadi yanayotuibia nguruwe pori wetu [emoji23][emoji23][emoji23]