Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,776
- 126,721
Nini tena ISIS?Yaani!
Nini tena ISIS?Yaani!
Kwani kime trend nini kuhusu hao wadudu kwenye mitandao mkuu?View attachment 527173
Habari hizi sidhani Kama ni za Kweli. Na zinasambazwa na sisi sote bila tafiti Hebu Google Spalgis epius kupata habari za huyo mdudu. Kwa ufupi huyo mdudu si kidudu mtu kama ambavyo taarifa zake zimekuwa Viral kwenye social media, huyo mdudu ni Predator wa wadudu waharibifu wa mazao jamii ya Scale Insect ambao ni Kama Papaya and Cassava Mealbug. Hawa Mealbug kwa muonekano ni weupe na wanapukutisha vumbi jeupe kwenye Mipapai na Mihogo. Hivyo hiyo picha ya hao wadudu hapo walipo wapo katika hatua ya ukuaji kuelekea kuwa Vipepeo (Growth stage from Larva to Pupa). Hivyo wanataga mayai ndani ya mayai ya hao Mealbug na kuwashambulia Mealbug as a Natural Enermy ,kwa hiyo ni moja ya Biological control ya Mealbug, hivyo hawana madhara.
Hahahaha kwa mwendo na speed ya hapa itakua SAA nisiyodhani kwa kweliSaa usiodhani
Watu wana like tuMkuu yule jamaa halali aisee, jana alikuepo hapa mpaka sa nane usiku na kukikucha tu unamkuta wa kwanza kwenye post [emoji3][emoji3]... Ila ISIS nae ni kiboko
Ongea na mods wakuhamishie likes zangu zote, nakupa bure kabisa sharifaNa mimi naomba like
Wasukuma mtuache tupumzike na vituko vyenu jaman[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu yule jamaa halali aisee, jana alikuepo hapa mpaka sa nane usiku na kukikucha tu unamkuta wa kwanza kwenye post [emoji3][emoji3]... Ila ISIS nae ni kiboko
Vyote vyote haiwezekani...Vyote vyote
Hahahahaha! Yaani mi ya 10k niliisubiria mpaka basi na bado nikapitwaMkuu kuna watu wameset automatic. Jana nimepigwa peupeee ya 20k
Kwa nini tunazodoana tena? Na mnajuaje mtu anakesha hapa kama nanyi hamkeshi? Binadamu bana! Anyway kamata likes but please don't take the fun out of this...Mkuu yule jamaa halali aisee, jana alikuepo hapa mpaka sa nane usiku na kukikucha tu unamkuta wa kwanza kwenye post [emoji3][emoji3]... Ila ISIS nae ni kiboko
Ng'ombe ya ndagu!