Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ba43f1d82482bddb52599847ee5fd0c6.jpg
Kiboko ya mabishooo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
IMG_20170619_195136.jpg

Habari hizi sidhani Kama ni za Kweli. Na zinasambazwa na sisi sote bila tafiti Hebu Google Spalgis epius kupata habari za huyo mdudu. Kwa ufupi huyo mdudu si kidudu mtu kama ambavyo taarifa zake zimekuwa Viral kwenye social media, huyo mdudu ni Predator wa wadudu waharibifu wa mazao jamii ya Scale Insect ambao ni Kama Papaya and Cassava Mealbug. Hawa Mealbug kwa muonekano ni weupe na wanapukutisha vumbi jeupe kwenye Mipapai na Mihogo. Hivyo hiyo picha ya hao wadudu hapo walipo wapo katika hatua ya ukuaji kuelekea kuwa Vipepeo (Growth stage from Larva to Pupa). Hivyo wanataga mayai ndani ya mayai ya hao Mealbug na kuwashambulia Mealbug as a Natural Enermy ,kwa hiyo ni moja ya Biological control ya Mealbug, hivyo hawana madhara.
 
Back
Top Bottom