Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Teh teh tayari nimeng'oa mizizi ya fitina nimepanda mihogo[emoji23] [emoji23]Acha fitna wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha hiyo salamu ina walakiniNakusalimia habari yako[emoji23][emoji23]
Mkuu na sisi tutapita hiyo hiyo nyembamba,hata tukibanana[emoji28] [emoji28] [emoji28]Njia ile ni nyembamba uiendao uzimani naimba tu
Unajua niliiba hiyo glass nikaona hadi kumoyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaaah wapi Cole wangu ananitosha mie
GeJo nashangaa amezimia baad ya kuniona hapa nipo najiuliza ni mapenzi au ile kitu uliyosema.GeJo is back too[emoji22][emoji22][emoji22][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]kuna mgeni wako
Usinilishe maneno[emoji23][emoji23][emoji23]
Kila wakatiBaraka na amani