carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Atakuwa kama nuhu mana mwenzie aligeuza sura kuwa rose,kweli kuachwa kubayaHapo sasa majuto mjukuu
Atakuwa kama nuhu mana mwenzie aligeuza sura kuwa rose,kweli kuachwa kubayaHapo sasa majuto mjukuu
Michambo ya wanaume inauma[emoji23][emoji23][emoji23]Eeh aiseee kamchana tena hadi aibu.
Unajua unapofanya vitu tofauti tofauti unaufanya ubongo uwe na afya nzuri [emoji111]Bob12 naona leo uko kivingine kbs.
Hahaha sana hasa akikamata skendo moja inayouma sanaMichambo ya wanaume inauma[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] enheeee....
Haa unajua mtu akihuzunika hata hawezi kuongea ukizingatia Andjul aliniita mjaneHuyo wala hakupendi maana hakuwahi hata kukuulizia hapa.
Pokea na wewe mkuuYea pokea like
SikuelewiBibie
Nimerudi bibieHee Kichwa Kichafu umerudi?
MAumivu makali ya kujitakiaAtakuwa kama nuhu mana mwenzie aligeuza sura kuwa rose,kweli kuachwa kubaya
Hee na wewe umeachwa?Njoo kwangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sijasema kuwa ni uniq lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]subiri aje hapa
Nitatembea from dom to mwanza niongeze Siku buku za kuishiKutembea kwa dakika 20 kila siku, huongeza siku za kuishi
Kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia, mtindo wa maisha umebadilika ikiwamo watu wengi kutumia usafiri wa magari hata kwa safari ya umbali mfupi