Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
E663
Huyu jamaa ni nani?View attachment 558930 Sijui kampata nani anamchora tena maskin badala ya kupambana na maisha mwenzenu anapambana na tattoo..
Waungwana Wote wanafanya hivyo..Ni kweli kamanda. Kuna siku moja nadhani juzi usiku wa manane ulinitwangia likes 120+ singohendedli. Nilishangaa sana. Endelea na moyo huo!
Nimeona uzi wa babu yako kule nimecheka na picha zenu[emoji122][emoji122]Mzuri hivyo wangu huu hapaView attachment 558994
[emoji122][emoji122][emoji122]kiongoziWakuu 20 pages kibindoni. Nilianza page ya mbele kabisa wakati huo ilikuwa ni page 11662 sasa hivi nipo page 11642 20 more pages to go. Mie ni ki wonder cha kuzalisha likes hali inaporuhusu kheeee kheeeee kheeeee.
Ooohhh sweet[emoji173][emoji173][emoji173]I love you because you listen to me
You understand me
Anaitwa brown nafikiri ni ben10 wa wolperHuyu jamaa ni nani?