Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Najua mkuu. Kwa sisi wakongwe tumeshazoea hiyo hali lakini kwa mgeni mgeni kidogo tena GT kidogo ilinishangaza!Waungwana Wote wanafanya hivyo..
Najua mkuu. Kwa sisi wakongwe tumeshazoea hiyo hali lakini kwa mgeni mgeni kidogo tena GT kidogo ilinishangaza!Waungwana Wote wanafanya hivyo..
Si unajua ukipata Unachotaka na ulichokuwa unakitafuta, sasa nishaanza kuelewa kwa nn watu wana spend na watu the rest of their lifeBro. Nakuona!