Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
E774
Eti mshedede [emoji23][emoji23][emoji23]. Siyo kila mtu ana mshedede unaofanya kazi mkuu. Na inawezekana wapo lokesheni...Badala ya kutoa mshedede yuko busy kuchukua picha! Mwanaume wa wapi huyu? Halafu binti ni mrembo ile mbaya. Angalia lips zilivyo bomba kwa vijuice, sexy lips.
HahahaMbagala is our home[emoji23][emoji23][emoji23]
Carba tufanye mpango wanaMbagala tuje tutembeleane...Mbagala is our home[emoji23][emoji23][emoji23]
Na kwako piaUsiku mwema wana wa likes.