Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
E770
Nasikia chumbani kwako umejaza madela ya sare za kuwasuta mtaani kwenu.
Ila nilikumiss kweliiiiiiiiiii
Niliona ulivyo muuliza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]lol! hahahahahaha kaning'ang'ania eti nimpe ubuyu 🙂🙂 Ubuyu niliacha kumung'unya shule ya msingi lol! hahahahaha
Niliona ulivyo muuliza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
NimekubaliMjitahidi kutembea kwa miguu jamani sio kila siku mnatembea mmekaa,inasaidia cardiac activities
Dah majukumu yatatufanya tuishi muda mfupi sana dunianiJaribu hata kutembea mida ya jion uchangamshe mwili na kunyoosha miguu
OkWakuu, i will see u later.
Karibu mkuuWakuu naingia mtamboni kumwaga likes za kufa mtu. Lengo langu ni kupiga page 40 nikiweza zaidi itakuwa heri zaidi. Kaeni mkao wa kula 🙂🙂
Mafotografa bwana. Sasa hapa ni nini kinachopigwa picha tena kwa uangalifu namna hii?![]()