mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wapi tena mkuu[emoji124] [emoji124] [emoji124] Acha tu niende kulee,nyie watoto mmesha nianza asubuhi asubuhi...
HahahahahaPata pesa tujue tabia yako, filisika tujue tabia ya mkeo,
NiceYaah Ahsante ila mim napenda samaki zaidi
Tunakumiss na sisiNawamithi jamani
We shemeji we ni shida haki ya nani. Eti Kichwa cha juu. Mwenzetu una vichwa vingapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siutaki kabisa uzee wa kujiregeza,kichwa cha juu nimeng'oa nywele zote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nzuri kwa kweliHabarini za jpili
HahahahahaKichwa baby....sorry nilitaka kusema kichwa shem
Una imba unacheza[emoji124] [emoji124] [emoji124] EPL karibu inaanza,wakus....lalalaa tunchwaa chwachwachwaaa...[emoji445] [emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji445]
Nice
Good coupleIvo wewe na uyo jamaa Cole Williams ni mapacha ....???
Hahahahaha dahView attachment 559291...natengua mtu viungo
Good afternoon my dearest
Yana mwisho....Duuh mtume roho yangu
Mambo ya maji chumvi ni shida sana lakini njia moja kurudiMwenzangu huyu muhenga wangu naona mjini pamekuwa pazuri hataki kurudi
Indeed mfalme mwenye busaraPeace & love ndio kila kitu.