ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,285
- 19,471
Honda
Kweli kabisa hahahahahaUongo wa mganga, [ndiyo pona ya mgonjwa].
Hapa hakuna jazba wala nini
Full maupendo tu likes likes
Alikuja naona yuko kwenye mazoezi ya mwisho mwisho ya kugonga gospel si unajua Leo JumapiliHv kichwa ashakuja humu leo? Au kapotea tena?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Numbisa na carba wanataka ufafanuzi hapo...hata sijui nitawajibu niniWe shemeji we ni shida haki ya nani. Eti Kichwa cha juu. Mwenzetu una vichwa vingapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa mwongo unatakiwa kuwa na kumbukumbuKazi ni kuumaintain uongo wako na usisahau ulichoongopa.