Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-06-09-52-06.png
 
Tayari fyoko fyoko zimeanza eti huko nyuma alikuwa anatumia madawa lakini safari hii wamemgundua mbinu zake ndo maana ameamua kustaafu; na anaonekana kama vile siyo yeye. Eti wana vipimo vipya sophisticated zaidi na wakipima sample zake za mkojo na damu huko nyuma si ajabu watagundua madudu na watamnyang'anya medali zote kama walivyofanya kwa Armstrong mpanda baiskeli mbabe wa Tour de France!
Hii tabu sana lakini hivi vipimo mbona vipo kila siku sijui kwa nini
Anyway tutaliongelea baadaye likes kwanza
 
Back
Top Bottom