Aangalie naye asije akafungwa kama yule mtangulizi wake. Nasi tungekuwa tunaruhusu hii kitu watu wangekuwa waangalifu sana wakiwa madarakani!
Ukishindana tarajia na kushindwa kupo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siku hizi mbeleko ni wewe mwenyeweEeeh sasa ww chelewa chelewa utakuta mwana si wako tena.
Kweli tupu shemeji.Wameamua kuniharibia,sijaona mwanamke wa kisukuma mfupi...
Kiongozi habari ya jumapili? Koromije kwema???Kweli tupu shemeji.
Aisee. Itabidi nifuate ushauri huu. Siku nikipika yaani mazagazaga kibao mpaka kichwa kinaniuma...Pimia vyakula unavyopika ndani ya sinki na rudisha kila kitu mahali pake baada ya kukitumia ili vitu visilundikane kwenye meza au sinki. Jitahidi kufanya maandalizi yanayotakiwa kabla ya kuwasha jiko.
13:0711:45
Yaah Ahsante ila mim napenda samaki zaidiUSHAURI
Punguza ulaji wa nyama nyekundu kama vile nyama ya ng’ombe, mbuzi, kondoo na badala yake kula nyama ya kuku. Kula zaidi kuku wa kienyeji na wapike au wachome ili wasiwe na mafuta mengi. Kwa kuku wa kisasa hakikisha hauvunji na kutafuna mifupa yao maana mabaki mengi ya dawa huachwa huko, utakuwa unakula na dawa zilizotumika kuwakuzia na kuwatibia.
Unaona ulivyo na jeuri!Ukishindana tarajia na kushindwa kupo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siku hizi mbeleko ni wewe mwenyewe
Analalamika joto. Atarudi bila shaka. Atarudi kwa ajili ya familia yake au atarudi kwa ajili ya baridi hapo ndo haijulikani!Nauliza huko mjini hujamaliza tu kazi urudi nyumbani? Au ndio ushahamia kbs huko?