cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Ukali wa moto ni kuuchochea.
Aaa wapi...Wakati mwingine salamu tu makemikali mwilini yanawawakia...miezi tisa baadaye "ng'wee, ng'weeeee!"Salamu haileti mimba,..
Aaa wapi...Wakati mwingine salamu tu makemikali mwilini yanawawakia...miezi tisa baadaye "ng'wee, ng'weeeee!"
Teh teh tehInternet pastor. 'Nough said...[emoji23][emoji23][emoji23]
Yap. That's our duty sir!By punching more likes to whoever keep on posting here
Za leoUwongo hauongoi.
Mhhh...!!!Huku nipo kupata ujuzi wa pwani,nikija bara mtafurahia matunda ya safari yangu,wali wa nazi,mahindi ya kuchoma yakiwa na ndimu na pilipili,mihogo na chachandu badala ya maziwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]