Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kama unatumia kikombe au kijiko cha kupimia, hakikisha unakisuuza papo hapo. Futa kila kitu kinachodondoka viwe vyakula au majimaji na mafuta kila vinapomwagika. Nyanya ni kiungo kinachochafua zaidi eneo la kukatia hili haliepukiki kupata matone ya nyanya ukutani na hata juu ya jiko.