Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
By punching more likes to whoever keep on posting hereWe
Will
Be
Waiting
For
Your
Return !!!
By punching more likes to whoever keep on posting hereWe
Will
Be
Waiting
For
Your
Return !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unakuta Mkinga ana mabasi 20 lakini nguo zake habadilishi mpaka zichanike ndo anavaa zingine. Go figure...Mashart ya utajiri hayaruhusu
Hehehe nimekupenda bure walah
Huku nipo kupata ujuzi wa pwani,nikija bara mtafurahia matunda ya safari yangu,wali wa nazi,mahindi ya kuchoma yakiwa na ndimu na pilipili,mihogo na chachandu badala ya maziwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nauliza huko mjini hujamaliza tu kazi urudi nyumbani? Au ndio ushahamia kbs huko?
Eeeh sasa ww chelewa chelewa utakuta mwana si wako tena.Huku nipo kupata ujuzi wa pwani,nikija bara mtafurahia matunda ya safari yangu,wali wa nazi,mahindi ya kuchoma yakiwa na ndimu na pilipili,mihogo na chachandu badala ya maziwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huwa hawakosi visingizio. Kulaumu ni rahisi zaidi kuliko kuwajibika. Na watoto wa siku hizi ndo kabisaa. Kila tatizo linalowakumba ukubwani wakulaumiwa ni wazazi.
Yaan mpaka unajiuliza hizo pesa na utajiri alionao wa nn sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unakuta Mkinga ana mabasi 20 lakini nguo zake habadilishi mpaka zichanike ndo anavaa zingine. Go figure...
Hakika ni salama kabisa.Karibu sanaNashukuru, Jumapili ipo salama. Natumaini na wewe pia.