andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Unaona ulivyo na jeuri!
Unaona ulivyo na jeuri!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi sina kichwa kichafu,..
TalalalalalaKichwa kichafu
Sijui watakapokuwa wazazi watawalaumu watoto wao?Huwa hawakosi visingizio. Kulaumu ni rahisi zaidi kuliko kuwajibika. Na watoto wa siku hizi ndo kabisaa. Kila tatizo linalowakumba ukubwani wakulaumiwa ni wazazi.
Zamu ya nani leo?Hainaga ushemeji tunakulaaaa,... Haina ushemeji tunakulagaaa,...
Uchochezi huo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mhhh...!!!
Zamu ya nani leo?
Asije tu akawa addicted!
Mpe pole miss u nsamakaHahaha pole
AhaAnafanya vizuri
Ngoja tumsikilizie tuona kitakachomrudisha.Analalamika joto. Atarudi bila shaka. Atarudi kwa ajili ya familia yake au atarudi kwa ajili ya baridi hapo ndo haijulikani!
PrincessAnne hlwww! [emoji6] [emoji6] [emoji6]
HahahahaHuu uzi ni supermarket ya kila kitu kwa malipo ya likes
Dunia nzimaHabari za dunia nzima hivi punde
Duh! Pole pole shemeji!Ukishindana tarajia na kushindwa kupo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siku hizi mbeleko ni wewe mwenyewe
rutashubanyumaE718