Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Jumapili ni njema kabisa tupo tunawajibikaNa kwako pia carba Jumapili inasemaje
Hii tabu sana lakini hivi vipimo mbona vipo kila siku sijui kwa niniTayari fyoko fyoko zimeanza eti huko nyuma alikuwa anatumia madawa lakini safari hii wamemgundua mbinu zake ndo maana ameamua kustaafu; na anaonekana kama vile siyo yeye. Eti wana vipimo vipya sophisticated zaidi na wakipima sample zake za mkojo na damu huko nyuma si ajabu watagundua madudu na watamnyang'anya medali zote kama walivyofanya kwa Armstrong mpanda baiskeli mbabe wa Tour de France!
Amina MkuuJumapili inaendeleaje wakuu? Tumshukuru Mungu!
HahahahahaNaona humu kila mtu ana wake!? Mimi wangu bbade kanikimbia,nimeamua nitafute mchepuko tu mwingine humu,natangaza nafasi iko wazi kwa warembo wote 😀😀