BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,930
Shule zingine hata kupeleka mtoto unaona aibu!
Unanichokoza eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sidhani kama anataarifa za eloc labda za andjul tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahahaNaona umeamua kutupia picha yako ya harusi na nsamaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Madaktari na wataalamu wengine wa afya wanashauri kwamba ili kujiepusha na athari hizi ni vyema watu wanene wakatumia matunda, mbogamboga au vyakula vingine ambavyo vina kalori na mafuta kidogo au visiwe navyo kabisa.
Mmhhh[emoji23][emoji23][emoji23]Ondoa hofu hata ukiniita nsamaka[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kabisaaaaa ur always right baby,..
Yupo kwa mchepuko wake
Una vaa maglass[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sifa zingne subiri