BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,930
Whaaaaaaat???
Ni nyimbo wanaimba kwenye tangazo la tigo
Whaaaaaaat???
[emoji23]Kichwa kichafu
Kabisa huku kazi hawaijui zaidi ya kukukoboa kama nafakaNa madaktari nao hakuna kusema sasa yatosha. As long as you are paying them wataendelea kukukata tu mpaka uwe kama kinyago!![]()
Hivi nsamaka ndio aliandika hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njoghomile nakuona makali yako
Eeh ni mmHivi nsamaka ndio aliandika hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kawalala93:
Ni burudani tosha kwa kweli. Nitakualika kitu cha mzee wa kuliamsha dude kikitua nchini. Naye kakulia hapa hapa Koromije na alikuwa anakuja mara kwa mara na helikopita yake. Tunachangishana hapa tujenge uwanja ili Gulfstream iweze kutua. Hiyo sasa itakuwa sherehe kubwa sana na nitakualika shemeji.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Koromije ni kijiji cha maajabu ya dunia... Leo huko ni mwendo wa kutingisha minanihino tu... Ungeniambia mapema shemeji,ningekuwa kwa barabara saa hii nije kushuhudia mitikisiko ya shemeji zangu
Yupo kwa mchepuko wakeThe one and only andjul, hiyo safari haiishi tu baba urudi nyumbani? Au ndio ushahamia huko?
Mwanaume hachambwi,labda kama unajiandaa kuishi maisha ya upweke hapo sawa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaan nakusubiri kwa hamu huku nyumbani uje upate kichambo cha hatari
PaaaaaaaaaaahTunawapiga paah paaaah
Ondoa hofu hata ukiniita nsamaka[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kichwa baby....sorry nilitaka kusema kichwa shem
Hahaha cc andjulYupo kwa mchepuko wake
Una vaa maglass[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sifa zingne subiri
Unanitishia eti eeeh?Mwanaume hachambwi,labda kama unajiandaa kuishi maisha ya upweke hapo sawa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekupata mkuu. Hawa Tigo ni shida kwa kweli!Ni nyimbo wanaimba kwenye tangazo la tigo